Deuteronomy 19:10

10 aFanyeni hivi ili damu isiyo na hatia isimwagwe katika nchi yenu, ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kama urithi wenu, ili kwamba msije mkawa na hatia ya kumwaga damu.

Copyright information for SwhKC